Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini usiku huu, Tuzo aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’. Meneja wa Diamond Sallim Sk amepost katika AC yake ya instagram na wadau wengi kupongeza tukio hilo
Post a Comment