Sasa kazi ni kwako zimebakia siku tatu ile offa kabambe ya Black friday kutoka JUmia Tanzania kuwadia. Epukana na usumbufu wa foleni barabarani na kununua bidhaa zisizo na uhakika wa uimara.
Jumia Tanzania inakuletea punguzo kubwa la bei kwa bidhaa nyumbani na offisini kwenye vyombo na vifaa vya electronic na umeme.


bila kusahau fashion za kike na kiume kama vile suruali za kijanja,Jeans`,Top, T shirt , Skirt na vingine vingi.

Unasubili nini muda ndio huu kuchangamkia offa kwaajili ya msimu wa sikukuu hi si ya kukosa











Kwa Kununua Bidhaa zao pamoja na mapunguzo ya Bei Bofya Hapa 



Post a Comment

 
Top