Wakazi wa Dodoma na viunga vyake wamepokea shangwe za burudani ya Serengeti iesta 2014 iliyofanyika Jumapili (October 5) ndani ya viwanja vya Jamhuri Dodoma.
Ali Kiba akiwa kwenye pozi ndani ya jukwaa la fiesta Dodoma
Tamasha hilo ambalo lilihudhuriwa na wakazi wengi wa mjini Dodoma lilipambwa na wasanii, Young Killer, Jux, Stamina, Fid Q, K. Style , G.Luck, Vanessa, Ali Kiba, Dully Sykes , Mr Blue, Recho, Nay wa Mitego, Khadija Maumivu, Linah, Edo Booy, Baba Levo, Abdu Kiba, Barakah Da Prince, Mo Music , Y. Tony , D-Triple pamoja na Suba Mkole.
Tazama picha.
Mtangazaji wa Clouds TV Lugha Kali
Recho akionyesha uwezo wa mauno
Ali Kiba akiwa na dancers wake
Ali Kiba
B 12 akifanya yake Dodoma
Baba Levo
Barakah Da Prince
Picha Hapa
Post a Comment