ray c


Msanii Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila almarufu kama Ray C ameandika kupitia Instagrama yake kuwa anatafuta Boyfriend na ameweka vigezo vyake hapa chini fuatilia 

Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!!
Ila naomba niwambie kabisa masharti 

1.Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze 
2.Awe anapenda muvi za kihindi ili nikiwa na stress aniwekee nyimbo za kihindi maana ndio raha ya moyo wangu.
3.Asiwe muongeaji sana sababu huwa sipendi makelele.
4 Anipende na ubonge wangu huu asije akaanza kunambia baby anza mazoezi au dah baby zamani ulikuwa bomba au rudisha kiuno hapo hatutaelewana.
5.Awe ananipikia nikichoka maana navutiwa nikimuona mwanaume anapika.
6.Awe na Mimi muda wote maana na wivu sana ikiwezekana tufanye kazi ofisi moja au awe ofisi ijengwe hapo hapo nyumbani.
7.Awe mvumilivu maana nikiwa na hasira huwa naongea kwa sauti ya juu sana.
8.Asiwe na rafiki wengi,na akitaka kuonana nae na mi niwepo maana si mnajua wanaume tena wakikutana huwa wanashaurina mabaya.
9.Awe anajua nyimbo zangu zote ndio ntaamini kweli ananipenda.
10.Sharti la mwisho kabisa ambalo ni muhimu sana kwangu ni hili tuwe tunatumia simu moja na Namba moja
Maana kanisani tunafundishwa kuwa ndoa maana yake tumeungana na kuwa kitu kimoja kwahiyo kama mume na mke tunalala pamoja kitanda kimoja na kuishi pamoja kwanini tusitumie simu moja!Sioni tatizo!
Kama una ndugu,jamaa.kaka,rafiki yuko single basi mjulishe tangazo hili huezi jua unaeza ukashangaa nimekuwa shemeji yako au wifi yako.................

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wake walivyofunguka

cliffunited @rayc1982 njoo tuishi hapa marekani
samkasiaro Nitumie no yako yà sim
linoserol Kabisa
josemale90 Nitumie namba yako tuongee vzr
denis_eustace Vipi njoo basi MAT nakusubir ulizia Denis, ntakupa penz la UKWELI,
kallovya Katika VP ambavyo umevielezeea yaan mashart hayo to yana no husu salsa nicheki wasap no 0788304070
kipendawatotom Seriously you want this@rayc
royalzama You should dear, anyway audition unawafanyisha lini?
artman_andre_ochola Nipo hapa malaika penzi tiyari umekipata
royalzama You should dear, anyway audition unawafanyisha lini?
peter.hussein52 Njooo kwangu jamani mbna,unajichelewesha peke yako aiseee 0674103435
momberd Duuuu ray c mh
paulobayagile Dah masharti magumu sana
james.mwita Niwe na kuanzia Shilingi ngapi ili usinikimbieee....na aina gani ya Gari niwe naloo...!!?!!

Kama unahisi unavigezo alivyovitaja Ray C ni haki yako kuomba nafasi uwezi ukajua.

Post a Comment

 
Top