Punguzo Kubwa la Bei la Vifaa vya Eletronia Kutoka Jumia 27 Dec #JumiaBlackFriday


Kampuni ya Kuuza na Kununua Vitu Online inayojulikana kama Jumia Online Shopping inapenda kuwapa Taarifa kwa wateja wake na wapenda vifaa vya Electronic kuwa Tarehe 27 Dec wanatoa Punguzo kwa Vifaa Vyao vyote wanavyouza unachotakiwa kufanya ni kufanya Order yako mapema ya Vifaa vyako na Utapewa Punguzo kubwa ili kusherekea siku kuu yako Vizuri kwa Maelezo zaidi tembelea Tovuti yao www.jumia.co.tz

Displaying unnamed.jpg

Post a Comment

 
Top