shilole na eddy kenzo


Penzi katika ya Mastaa wawili Msanii Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda.

‘’Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’’Alisema Shilole.

‘’Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi kaimba wimbo kwa ajili yangu unajua sio kitu kidogo msanii mkubwa Afrika kuniimbia wimbo mimi amechukua tuzo ya BET mwaka huu,ananipenda na mimi nampenda sana,’’Alisema Shilole.

Post a Comment

 
Top