DSC_0002
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
DSC_0014
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na kinywaji hicho kikali cha Mr. Jack’s (Jack Daniel’s) ambacho hakina Hang Over na harufu mbaya mdomoni na kukufanya ujisikie mwenye furaha wakati wote.
DSC_0017
Kaunta ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s ikisimamiwa na Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s.
DSC_0042
Cheers to you Mr. Photographer…..wageni wakiendelea kupata SHOT za Mr. Jack’s.
DSC_0045
Baadhi ya brand za Mr.Jacks’ zenye ujazo tofauti zikiwa zimepambwa kwenye kaunta maalum.
DSC_0049
Mwanamanyoya akishow love na Mr.Jack’s.
DSC_0051
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishangaa kuona brand mbalimbali zakuvutia za Mr. Jack’s.
DSC_0081
Mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kufurahia SHOT za Mr.Jack’s.
DSC_0171
DSC_0210
DSC_0135
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Entertainment Dr. Sebastian Ndege(mwenye kofia) akiwapa tano baadhi ya mashabiki wa Skylight Band kwenye kaunta ya Mr.Jack’s iliyokuwa inatoa fursa kwa mashabiki wa band hiyo kupata SHOT za bure za Jack Daniel’s.
DSC_0131
Team Wanamanyoya wakipata Ukodak na tabasamu bashasha baada ya kupata SHOT za Mr.Jack’s anayeonyesha upendo kwa wadau wa kinywaji hicho.
DSC_0130
DSC_0053
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishow love na Mr.Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
DSC_0066
Sam Mapenzi wa Skylight Band akipata ukodak kwenye sehemu maalum yakumwandikia ujumbe wa kumtakia maisha mema Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s anayezaliwa mwezi huu wa tisa.
DSC_0059
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akiandika ujumbe maalum wa kumtaki birthday njema Mr. Jack’s.
DSC_0143
Pichani juu na chini ni baadhi ya mashabiki wa Skylight Band wakipata ukodak kwenye bango la Mr. Jack’s
DSC_0146
DSC_0149
DSC_0154
DSC_0234
Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band  huku Mary Lucos akimpa sapoti kwenye usiku maalum wa shamra shamra za kusheherekea siku ya kuzaliwa ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
DSC_0104
Sam Mapenzi na Aneth Kushaba AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band kwenye usiku maalum wa kuonyesha upendo kwa Mr. Jack’s anayezaliwa mwezi septemba.
DSC_0238
Shabiki wa Skylight Band akimpa tano Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo wakati akitoa burudani kwenye usiku maalum wa Mr. Jack’s.
DSC_0252
Mashabiki wakisakata rhumba na muziki mzuri kutoka Skylight Band.
DSC_0554
Joniko Flower akisebeneka jukwaani na shabiki wake aliyechizika na burudani uimbaji wake.
DSC_0294
Skylight Band inapendwa pia na raia wa kigeni kama wanavyoonekana kwa mbali wakiwa wamechizika na burudani.
DSC_0315
Kijana mdogo machachari wa Skylight Band Hashim Donode na Aneth Kushaba AK47 kwa pamoja wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0321
Hashim Donode na Aneth Kushaba AK47 wakishambulia jukwaa.
DSC_0121
DSC_0323
Mashabiki wa Skylight Band wakizungusha mduara kwenye usiku maalum wa Mr.Jack’s uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0328
Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na mduara kutoka kwa Mary Lucos (hayupo pichani).
DSC_0327
Shabiki wa Skylight Band akitoa swagga zake kwa mpiga picha wa Skylight Band.
DSC_0333
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar waliofurika kwenye usiku maalum wa Mr. Jack’s uliopambwa na Skylight Band.
DSC_0342
DSC_0344
DSC_0347
DSC_0538
Mary Lucos wa Skylight Band akiwaimbia mashabiki wa band hiyo.
DSC_0351
DSC_0414
Ulifika ule muda wa kutafuta mwanadada mmoja anayezijua style zote za Skylight Band na jukwaani walipatikana wadada watatu.
DSC_0431
Wadada warembo mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kuchuana kwa style mbalimbali za Skylight Band, ikiwemo “Kikuku” Yachuma chuma, Sugua sugua na zingine kibao.
DSC_0440
Joniko Flower akiuliza mashabiki waliofurika ukumbini hapo kati ya hao wawili nani mkali.
DSC_0452
Aneth Kushaba AK47 na Sony Masamba ilibidi waingilie kati kuwakumbushia style mpya ili zoezi liendeleee.
DSC_0439
Sehemu ya mashabiki wa Skylight Band waliofurika kwenye usiku wa maalum wa Mr. Jack’s ndani ya Thai Village.
DSC_0472
Zoezi likendelea Sugua sugua…..
DSC_0483
Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47 na Sony Masamba wakipata ukodak na mshindi wao alitambulika kwa jina Zulfa na kujinyakulia zawadi ya chupa ya Mr.Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
DSC_0489
Zulfa akipata Ukodak na Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 baada ya kuibuka kidedea kwa kucheza style za Skylight Band.
DSC_0577
What would I do without your smart mouth? Drawing me in, and you kicking me out ..You’ve got my head spinning, no kidding, I can’t pin you down..What’s going on in that beautiful mind…Sam Mapenzi akiimba wimbo wa All of Me ulioimbwa na John Legend uliokongo moyo wa Super star Wema Sepetu aliyeamua kula pozi jukwaani huku Sam Mapenzi akipiga mistari ya wimbo huo.
DSC_0585
Oooh you’ve touched my heart Sam…..anavyoonekana kusema super star huyo.
DSC_0587
My head’s under water..But I’m breathing fine..You’re crazy and I’m out of my mind..’Cause all of me…Loves all of you
Love your curves and all your edges…All your perfect imperfections…Give your all to me….I’ll give my all to you
DSC_0594
Super star Wema Sepetu akianza kumtunza Sam Mapenzi wa Skylight Band.
DSC_0602
Mdau naye alitoa dola 200
DSC_0606
Wema Sepetu akiendelea kukwangua pochi lake na kuhakikisha linabaki jeupeeee.
DSC_0611
Mijihela ikiendelea kumiminika kwa Sam Mapenzi.
DSC_0612
Shikamoo Madam Wema Sepetu……Umetishaaa mbaya…
DSC_0507
Shangwe za kutosha zilirindima kwenye usiku wa Mr. Jack’s ambaye mwezi huu wa tisa tunasheherekea birthday yake kama hivi.
DSC_0202
DJ Peter Moe akishow love na Rais wa Wanamanyoya Justine Ndege.

DSC_0312
Wadau wa Skylight Band wakipata ukodak.
DSC_0169
Wadau wa Skylight Band wakishow love.
DSC_0370
Aneth Kushaba AK47 akishow love na shabiki wake.
DSC_0378
Mwanamanyoya Victor Maginga (kulia) akipata ukodak na swahiba wake.
DSC_0555

Aneth Kushaba AK47 na shabiki wake.
DSC_0571
Amo Blaze na glass yake ya Mr’Jack’s akishow love na swahiba wake.
DSC_0558
Mdau Rummy akishow love na wadananda
DSC_0561
Mratibu wa Skylight Band Lubea (kulia) akishow love na Rummy.
DSC_0562
Wanamanyoya Victor Maginga (wa pili kushoto) na baadhi ya wanamanyoya wakishow love na ukodak.

Post a Comment

 
Top