Wolper Avishwa pete ya Uchumba

Leo Kwenye Instagram ya Staa Jackiline Wolper Imesheheni Habari za yeye Kuvishwa Pete na Mchumba wake anayetumia jina la Putin Kabalu kwenye Instagram yake.Tukio Hilo liliambana na zawadi wa Cheni Aliyozawadiwa na Mpenzi wake kisha ikafuta Pete ya Uchumba kwa Furaha na Machozi ambayo Wolper Alishinwa Kujiuza akaamua kuangua kilio hii ni Massage yake 

Kweli Maisha uwezi kuyapanga wala kuyajenga zaidi ya Mungu�� dah nimekaa na mwenzangu leo sku nzima nimecheka nimenuna kumbe kuna tukio mbele dah sijategemea kabisa nimekaa maskani niliyozoea kukaa kila sku na Mr wangu sasa leo nashangaa kanunua mashat sare mara ataki tukae tunapokaa kila sku kumbe hana plan zake nikagombana nae sana skujua lililopo mbele nikajiwekea mawivu tuu mbele labda kuna analoogopa lakn kumbe alikua anajambo lake alilotaka kufanya nakukamilisha sku yangu japo alianza na zawadi ya cheni ambayo nimekua nikiizoea maana uwa anapenda kuni suprise so sikushtuka sana japo nilimshukuru kma apo awali nilivyoweka insta..but kubwa ni hili hapa ambalo sikulitegema..kikubwa nikumuomba Mungu anisimamie Basi..okey endelea kuangalia ni nini kanisuprise leo nakunishangaza tho am happy naninafuraha i love him so much jamani ata sina lakusema Mungu nilindie huyu kijana Ameni��

Kila La Kher Wolper Gambe 

Post a Comment

 
Top