Producer max waAuthenti c studio ya jijini Dar es salaam ambaye pia ndiye aliyekuwa producer wa msanii anayejulikana kama Young D anayetamba na ngoma mbalimbali hapa Tanzania ikiwemo ticha na tunapeta.Producer huyo amefunguka kuwa kamwe hatamruhusu rapa huyo mdogo hapa nchini Tanzania kurudi kwenye studio anayoimiliki kwa kuwa rapa huyo hana maadiri yanayoendana na studio yake anayoimiliki.Alikaririwa akisema kuwa yeye anakubali kuwa Young D ni mkali lakini maadadili anayoyafanya katika maisha hayafanani na maadili ya studio yake hivyo hatamruhusu kurudi kwenye lebo yake.
Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment

  1. When some one searches for his vital thing, so he/she wishes to be available that in detail, thus
    that thing is maintained over here.

    My blog - assessor training

    ReplyDelete

 
Top