Rais Kikwete akiweka saini katika kitbu cha maombolezo leo alipofika nyumbani kwa Marehemu Steven Kanumba maeneo ya Sinza 'Vatican' kutoa pole na rambirambi. Rais ameto ubani wa shilingi milioni 10 kwa kifo hicho ambacho kimetingisha tasnia ya filamu ndani n nje ya nchi
 Rais Kikwete akiongea na wanakamati wa kamati ya msiba wa Steve Kanumba
 Rais Kikwete akisalimiana na Dokta Cheni huku Millen Magesse na wasanii wengine wakiangalia

 Rais Kikwete akimpa pole mdogo wake marehemu Steven kanumb
 Rais Kikwete akitoa pole kwa dada wa marehemu Steve Kanumba na chini akiwafariji



Post a Comment

 
Top