Dada anaye kimbiza kunako gemu ya filamu tanzania WEMA SEPETU amekuwa mkali baada ya watu kumuuliza kitendo alichofanyiwa na Diamond juu kwaani.Aidha amesema hayupo tayar kuzungumzia juu ya tukio hilo na kuamua kukimbia studio kukwepa maswali zaidi.

Post a Comment

 
Top