Msanii anayekimbiza kunako gemu ya bongofleva wimbo wake wa nidanganyedanganye alioshirikisha Diamond platnumz amepata shavu la kurekodi video yake ya nyimbo yake mpya inaayoitwa BONGE LA BWANA(free of charge).
Shetta ambaye ni maarufu kama baba qaylah amepata shavu hilo kutoka kwa
chief kiumbe maarufu kama big boss...

Post a Comment

 
Top