VIDEO Queen Agness Masogange alalamikiwa na wadau kwa kutongoza wa wanaume katika mtandao wa kijamii wa facobook aidha baada ya kulizwa alikuwa na haya ya kusema kuwa sio yeye ila kuna mtu aliyefungua akaunt na kuandika jina lake,nukuu ya kauli yake "Nimechoshwa na huyu mtu, nikimbaini kweli nitamuumiza kwani ananishushia hadhi yangu, mimi nina wangu najiheshimu, siwezi kujiuza mtandaoni"..
Aidha hivi karibun Agness alimua kumtambulisha mchumba wake BBM(Black berry massenger).picha hizo zilimwonyesha akiwa katika mahaba mazito na mchumba wake anayejulika kwa jina la Evance Komu.....
Aidha hivi karibun Agness alimua kumtambulisha mchumba wake BBM(Black berry massenger).picha hizo zilimwonyesha akiwa katika mahaba mazito na mchumba wake anayejulika kwa jina la Evance Komu.....
Post a Comment