Msanii anayekimbiza kunako gemu ya Bongo movie flora mvungi hivi karibu ameruadiana na mchumba wake wa zamani ambaye anafanya muziki wa Bongo fleva ajulikanae kama H_baba.

Baada ya kurudiana na hatimae kuvishwa pete ya uchumba na H_baba.Baada ya kuvishwa pete hiyo na kusema kuwa ndoa yake iko karibuni japo kuwa hakutaja tarehe ya sherehe ya harusi yake.....

Post a Comment

 
Top