Katika kusherekea miaka 13 ya kuzaliwa kwa Clouds media group inatarjia kufanya street bash ili kuadhimisha miaka 13 toka kuzaliwa kwa clouds fm Jumapili  ya wikiendi hii,ikikutanisha wasanii mbalimbali wakiongozwa na mshindi wa tuzo za channell 0 Ay.

Kwa mujibu wa ratiba ya event hii imegawanyika katika setting tatu ambazo zote zitafanyika usiku huo huo,kwanza ni live performance shoo katika mtindo wa street bash pia kutakuwa na Dvj Bulla Dvj Muli na Dj Ibra.

Kwa upande wa viingilio vimegawanyika katika sehemu kuu mbili,15,000 kwa mtu atakayetaka kuona pande zote tatu na 10,000 kwa wale watakaona street bash tu,zaidi ya wasanii kumi na tano wanategemea kuperform siku hiyo.......

Post a Comment

 
Top