Msanii anyefanya vizuri kunako anga ya muziki A.Y baada ya kuwania tuzo ya Most Gifted East African video of the Year jumamosi iliyopita huko nchni South African sasa habari tulizo nazo ni kwamba yupo kwenye uandaaji wa video yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la Money huko nchini A.y ameweza kuwachukuwa wadada wanne ambao wanatokea katika kampuni ya Clasiq Models ili wahusika katika video yake mpya ambayo amemshirikisha mwanadada Vanessa Mdee
WADADA WATAKAOSHIRIKI KATIKA VIDEO YA MTU MZIMA AY
TUNAISUBIRI KWA HAMU VIDEO YAKO KWA HAMU KUBWA SANA.....................
Post a Comment