Mwanamziki kutoka pande za Kenya anayejulikana kama Amani hivi majuzi amekuwa katika wakati mmgumu baada ya kutapeliwa na promota ambaye alikuwa anamwalia onyesha nchini Dubai..

Baada ya Amani kupata muliko huo wa kupiga show nda ya falme ya kiarabu  promata huyu ambaye jina lake alikufahamiaka mara moja aliingia mitini na kumwacha Amani akiwa hana la kufanya kutoka na yeye Amani kumwamini sana promta huyo..

Uchunguzi zaidi unasema hii ndo tabia ya huyu promota kwa kuwa alikwisha fanya hivyo kwa wasanii wengine kama Redsan na wengine wengi............


Post a Comment

 
Top