Ommy Dimpoz on the stage akifanya yake pamoja na dancer wake.....






Mh Zitto Kabwe naye alikuwepo kama mgeni rasmi hapo alikuwa akisindika ule wimbo wa Leka Dutingite wa Kigoma All stars





Diamond hapo akifanya yake on the stage ailkuwa ni balaa na burudani ya kuakata na shoka.....













Baada ya show Diamond ilibidi apumzike kidogo kutoka na kuchoka kwa kufanya make sana kwa stage......

Post a Comment

 
Top