Msafara ulianzia kiwanja cha kimataifa cha ndege cha KIA lakini nilijaribu kunasa baadhi ya picha kadhaa sikuweza kuchua nyingi kutokana na umati mkubwa wa watu na vurugu za pikipiki na magari ilikuwa ni furaha kwa wanacadema wote na viongozi akiwemo mbunge wa Arumeru mashiriki kwa tiketi ya chadema Mh Joshua Nassari....














Kishymba blog
Add caption








Post a Comment

 
Top