Msanii anayefanya vizur kunako muziki hasa wa bongo fleva hapa Tanzania na pia nje ya Tanzania Ambwene Yessaya ama Ay hivi karibuni jina lake limeorothesha katika jarida la Heshima la nchin Kenya na kumuweka katika orodha ya "2013 HIP HOP HEAVYWEIGHTS".Pia mwezi November Ay aliweza kuorodhesha kwenye jarida la Bongo5 kama BONGO KINGS na kumfanya apate heshima kubwa hapa nyumbani na nje..
AY AINGIA KATIKA ORODHA YA 2013 HIP HOP HEAVYWEIGHTS.....

Post a Comment