Nisher aliingia jana jijini dara kwa ajili ya utengenezaji wa video ya Dj choka ya ile ngoma ya Press Play na zingine za B hits music group pia Nisher amekuja kwa ajili ya wasanii wengine ambao wanataka kufanya kazi nae na wanaopenda video kali..........
Mzigo mzima wa press play ukiwa tayari utakuwa hapa endeleiani kutembelea blog yetu..
Post a Comment