Mugizaji anayefanya poa sana kunako filamu ama bongo movie anayejulikana kama Wema Sepetu katika acc yake ya Instagram ameachia picha mpya ya gari lake jipya aina ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi na kuandika hivi
"My baby at da beach"
Pia kwenye acc ya meneja wake na Wema Sepetu anayejulikana kama Martin kadinda ameachia picha hiyo hiyo na kuandika
Maisha sio manhattan....You can create your own manhattan in tz.....hata kama kama ni ya muda mfupi...#Kiphatting
Gharama gari hili haja taja lakin kwa uelewa wa magari ni kuanzia million 70'S.......
Post a Comment