Hapo ni ni msanii M-rap na Deedy wakifanya mavitu kwa stage jana kwenye usiku wa Mabeste.......
Huyu ni Hemed naye alikuwepo kusindikiza show ya Mabeste Night........
Joh Makini akifanya mambo yake.............
Na mwisho akamaliza mwenye show anaitwa Mabeste
Kutoka kushoto ni Prod Pancho shemeji yetu kwa Mabeste Deddy na M-rap.....
Post a Comment