Msanii anaye fanya vizuri sana hapa Tanzania Naseb Abdul ama Diamond Plutiunm mwaka huu umemuanzia kama na gudu hivi  leo katika blogs nyingi na vyombo vya habari zimetoka habari kuhus yeye ambazo zinamhussha na mabo ya kishirikina.


 Baada ya kusikilia habari kama hizi mashabiki waliamua  kumpigia simu Diamond na akasema kwamba hamfahamu huyo mganga na wala hajiweki katika mambo ya kishirikina ni uongo mtupu"alisema Diamond.


Hili ndiyo gazeti ambalo limechukua nafasi kubwa ya story kati ya diamond na mganga wake



Post a Comment

 
Top