Mwanamziki anayefanya vizuri kupitia ngoma yake ya Dear Gambe alifanya na Belle 9 hapa bongo anayejulikana
kama Young Killer Super Nyota kuptia akanti yake ya matanado wa kijamii facebook amewaambia mashabiki
wake kuhusu akanti ambayo inatumia jina lake na inatumika vibaya kwa kutongoza wanawake na
kuwaomba watu fedha na vingine vingi na hichi ndicho alicho kiandika
Na hi indo muonekano wa Akanti hiyo isiyo julikana ni
yani inayo tumika vibaya kazi kwako wewe shabiki wa Young Killer usije
kutapeliwa
Post a Comment