Katika hali isiyo kuwa ya kawaida ac ya twitter ya
mchezaji wa BBA na pia mwanamziki kutoka Nigeria aliyefariki siku chache zilizopita imepost kitu ambacho sio
kawaida maana tinajua mtu akifa basi na akanti yake inakuwa inactive ya
haitumiki tena sasa maajabu ni kwamba akanti hii imeachia post hii
Home
»
»Unlabelled
» AKAUNTI YA MSHIRIKI WA BBA ALIYE FARIKI SIKU CHACHE ZILIZOPITA GOLDIE YAFANYA KAZI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
tatizo umepost hujui kaa account zake zilikuwa na mtu anaziendesha, admin wake ndo alipost pia kuhusu kifo chake, usikurupuke kuandika kitu bila kujua, blog haziendi hvyo
ReplyDelete