
Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa blog hii kribuni
tulikuletea habari juu ya Jack wa Chuz kufunga ndoa na kubadili dini kwa habri
zilizoko ni kwamba baada ya saa 48 tu Jack kufunga ndoa ymekuja mapya kabisa
baada ya dada Mariam Omary anayedai Jack Chuz kamchukulia baba(Gardner Dibibi) watoto
wake akiwa na mwanaye.
Mwanamke huyu mwenye jina la Marium Omary inadaiwa kuwa
na mahusiano na Gadner Dibibi kwa muda wa miaka mitatu sasa na kufanikiwa kupata
mt0to mmoja wa kiume.
Dada huyu ambae anishi Kigogo jijini dar es salaam
alisema siku ya tukio ya ndoa ya Gadner alimuaga kuwa anasafiri anaenda
Morogoro hivyo hatakuwepo dar lakin baada ya muda dada huyu alipata taarifa
kutoka kwa watu kuwa mumewe anafunga ndo na mwanadada Jack wa Chuz
Dada huyu alialamika na kusema kuwa Jack wa Chuz anajua
kila kitu kuhusu yeye na Dibibi na kusema
“Hakuna asichokijua kati yangu na Dibibi, kwa usalama
wake Jack aniachie mume wangu,” alilalama mwanamke huyo.
Baada ya Jack kulizwa swala hili alisema hivi ‘’baba wa
mtoto anayemjua ni mama peke yake na isitoshe kuzaa naye isiwe sababu kwani
yeye hakumuoa’’
Na Dibibi naye alikuwa na haya ya kusema
“Alikuwa demu wangu na kuzaa mtoto isiwe sababu. Hata
hivyo, ukweli wa baba wa mtoto anayejua ni mama. Sikumtolea mahari wala
kumvalisha pete ‘so’ hana kizuizi na ndoa yangu,” alisema jamaa huyo kisha
akakata simu’’
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.