Mwanamziki anayefanya vizuri kwenye gemu la bongo fleva amabye pia anatesa na ngoma ya Going Crazy anayejuikama kama  PHD sasa kwa habari zilizoko ni kwamba mwanamziki huyu anakaribia kuachia ngoma yake ya  REST OF MY LIFE amabayo ndani yake atamshirikishi  Rapper Lil Sama a.k.a Mr. Blue sasa imekaribia kutoka.

Rest Of My Life ikiwa ni mwanzoni kabisa mwa mwezi wa nne, yaani Tarehe 1 mwaka huu.Hemedy ambae bado  anafanya vizuri na ngoma yake ya ''Going Crazy'' ambayo aliiachia miezi michache iliopita sasa yuko njiani kuachia single yake hiyo kaa tayari kama wewe ni shabiki wa hemedy.

Post a Comment

 
Top