
Mchezaji David Beckham, amewaacha midomo wazi wanafunzi
wa chuo kikuu cha "Peking" nchini China wakati alipokitembelea na
kuamua kunyanyua shati yake ambapo tattoo mpya iliyoandikwa kichina ilionekana.
Beckham mwenye umri wa miaka 37 yuko nchini China katika
ziara ya siku tano kama akiwa ni balozi wa "Kids Football". Beckham
mwenye watoto wanne na mkewe Victoria amechora tattoo mpya ya kichina yenye
maana hii -- “Life and death are determined by fate, rank and riches decreed by
Heaven.”
Post a Comment