


Muigizaji wa Tamthilia ya "Mara Clara"
inayotamba Star Tv ambae ni maarufu kama "MARA" siku ya jana ametimiza
miaka 17.
Mara mwenye mashabiki mamilioni duniani ameonekana
kuwateka zaidi mashabiki wa tamthilia za kiphilipino zinazorushwa hapa nchini
kupitia kituo cha luninga cha Star Tv na kwingineko duniani kama ABS - CBN.
Post a Comment