Wadada watatu
ambao ni Kim, Kloe na Kourtney wamepigwa marufuku kuto kuuza bidhaa zao za Khroma cosmetics kutokana na copy and
paste ya jina la company iliyoanzishwa 2010 itwayo Kroma inayohusika na na
uuzaji wa cosmetics.
Lee Tillett who trademarked Kroma in 2010 amefungua
mashitaka dhidi ya kampuni ya Boldface
ambayo inashughulika na utengenezaji wa bidhaa na usambazaji wa Kardashians
Khroma cosmetics line.
Miss Tillett sought $10m (£6.67m) in damages from the
sisters and Boldface Group Inc for ‘stealing’ the name of her cosmetics line.
Kama Miss Tillett atashinda hii kesi basi Kardashians hawana budi kulipa dollar
million kumi kufidia damages zote za company ya Kroma.
Post a Comment