Mwanamuziki asiye ishiwa na vituko anayejulikana kama Rihanna amefunguka kuhusu single yake mpya
inayokwenda kwa jina la "Stay" ambayo amesema itaelezea mwanzo mpya
wa mahusiano yao na Mwanamziki mwenzie Chriss Brown,kimapenzi yatakayodumu
milele na boyfriend wake Chris Brown.
Mwanadada huyu aliendelea kuongeza kuwa “sasa sisi
tumekuwa watu wazima, tunahitaji kufanya hivo, tumeanza mwanzo mpya wa
mahusiano yetu mimi na Chris Brown, mahusiano yasiyovunjika tena."
Pia katika kutafuta yangu nikapata ngoma yake hii hapa
inaenda kwa jina la Stay download hapa na usikilize
Post a Comment