zamaradi


Host wa kipindi cha Take one kinachorushwa na kituo chako cha clouds tv  Zamaradi Mketema amefunguka juu ya show iliyokuwa inzungumzia maswala ya movie kwamba mzigo upo kwenye process ya kuanza kuonekana tena kupitia Clouds TV baada ya kuchukua muda kidog bila ya kuonekana kwa muda kidogo.

Clouds TV ambapo show hiyo kuruka hewani itaanza kuonekana kwenye ving’amuzi.baada ya vingamuzi kutonyesha channel  hii na vipindi vyake kujipanga na kuandaa vitu vipya.

Basi kama wewe n shabiki wa hii show kaa tayari kucheki tena show hii inayoruka kupitia Clouds media.

Post a Comment

 
Top