1. TUNNU SEPETU... .... YEYE NI MAMA WA MTOTO MMOJA..
ANAISHI NCHINI MAREKANI.. TUNNU NI MPOLE.. ANAPENDA KUSIKILIZA.. ANAPENDA
KUCHUKUA MUDA KABLA YA KUTOA MAAMUZI YA JAMBO ANALOPENDA.. NI MTAFUTAJI...
2.NURU SEPETU... NI MAMA WA WATOTO WATATU, AMEOLEWA NA
ANAISHI DAR.
3. SUNNA SEPETU: HUYU PIA ANAISHIA MAREKANI KWA KIPINDI
KIREFU NA NI MCHESHI.
Post a Comment