JE WAJUA KUA CHRIS ANAMCHUKIA DRAKE LAKINI ANAPENDA MZIKI WAKE! SOMA HAPA
Chris Brown anaweza kuwa anamchukia sana Drake kutoka rohoni, lakini hawezi kujizuia kucheza mziki wake pale utakapopigwa Club.
might despise Drake with a passion, but even CB can't resist dancing when one of his songs comes on at the club.
Brown na Drake wamekuwa kwenye bif kwa mda sasa, tangu ile mwezi wa sita walipopigana ndani ya Club, ambapo iliripotiwa ni kwasababu ya Rihanna.
CB alikuwa anahost party stage 48,NYC, mwanzoni mwa mwezi huu, na inasemekana Dj bila uoga alipiga wimbo wa Drake unaofanya vizuri kwa hivi sasa "Started Fdrom The Bottom", badala ya ku react CB alicheza kama vile ndio wimbo anaoupenda.
Chris Brown -- Hates Drake, But LOVES His Music
- Watch More
Celebrity Videos
or
Subscribe
Post a Comment