Mbunge wa kigoma kaskazini leo leo hii kupitia ukurasa
wake wa faceboo alikuwa na hay ya kusema juu ya mama yake mzazi kuvamiwa na
majambazi na kutshiwa na bastola mama yake na nakuu alicho kiandika
‘’Nimekuwa
naulizwa kuhusu Habari za mama yangu Mzazi Bi. Shida kuvamiwa na kutishiwa
bastola. Nawajibu watu Kwa ujumla kwamba
“Moja, mie sio msemaji wa familia. Ni basi tu katika
watoto wa mama yetu mie najulikana zaidi na hivyo mama anaitwa Mama Zitto. Kwetu
Kigoma haitwi hivyo, ama Ni mama Salum au mama Lulu.
Pili, hili Ni suala la polisi. Lipo polisi na
linashughulikiwa na polisi. Nisingependa kulisemea wakati Ni suala
linalochunguzwa na polisi. Mama yangu Ni mama wa kawaida wa kitanzania kama
mama mwingine yeyote yule. Matukio ya namna hii yamezagaa nchi nzima.
Hivyo suala lake litashughulikiwa kama
yanavyoshughulikiwa masuala mengine yote ya Watanzania. Polisi wakimaliza
uchunguzi wao naamini hatua mwafaka zitachukuliwa.
Ushauri- tuwe makini na “Agente provocatuers” au in
English “provocation agents” nyakati kama hizi. Calmness is the best protection
against provocations. Nadhani mmenipata”
Nawatakia Kila la kheri katika kazi za ujenzi wa Taifa
letu na kuimarisha Umoja na mshikamano wa Watanzania dhidi ya ufisadi,
umasikini na ugandamizaji.’’
Alimaliza hapo nathani utakuwa umepata majibu.
Post a Comment