TAARIFA  FUPI KUTOKA BUNGENI DODOMA MUDA HUU ZINASEMA KUWA  WAZIRI LUKUVI  AMETANGAZA KURUDIWA UPYA KWA USAHISHAJI WA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2012,HII IMETOKANA NA MAPENDEKEZO YALIYO TOLEWA NA TUME ILIYO UNDWA KUCHUNGUZA TATIZO LA WANAFUNZI WENGI KUPATA DARAJA SIFURI  HUKU WANAFUNZI WACHACHE KUPITA KATIKA HUO MTIHANI ULIFANYIKA OCTBER MWAKA JANA,PIA WAZIRI LUKUVI AMESITISHA AMESITISHA KUANZA KUTUMIKA KWA VIWANGO VIPYA VYA UFAULU AMBAVYO AWALI VILITANGAZWA NA KUANZA KUTUMIKA MASHULENI .

Post a Comment

 
Top