https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjA32PhBhpsMf2hnKmiTPZzHUI1A8M5nwv_hDcDpehLvX-J4q0g4pnuFd5RXpHs08xJHBVkxIEz8D3oPMh3tF_qLZX1l9lJu5ZfGRIFUZErq4_gDBQVlaIql1cmzCVMBXEMXFfecTAqdsX2/s1600/B12%252C+Adam+n+Shadee.jpgBaada ya kufanya vizuri na ile ngoma yake ya JONII JONII ambayo aliitoa miaka kadhaa iliyopita na kuendelea kujizolea umaarufu zaidi, ADAM MCHOMVU a.k.a BABA JONII sasa mpya kutoka kwa BABA JONII ni kuwa ameachia tena ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "AFRICAN LADY" ...
Kwenye ngoma hii MCHOMVU amelishirikisha kundi la RADAR ENTERTAINMENT ambalo linaundwa na baadhi ya wasanii wakubwa kama TID, Ngwair, Country Boy, Rommy Jones na wengine ...
Sikiliza ngoma AFRICAN LADY hapa chini ...

Post a Comment

 
Top