Alioko katikati ni Mchekeshaji maarufu hapa nchini ''Masai Nyotambofu'' Ambae pia ni DIRECTOR wa masainyotambofu.blogspot.com Akiwa na wanamuziki nguli kutoka bendi ya EXTRA BONGO ''Sura Mauzo'' na ''Papii Katalogy''. EXTRA BONGO ni bendi Inayo endeshwa na mwanamuziki mkongwe katika muziki wa dance hapa nchini ''Ali Choki'', Leo walitia tim kwenye kambi ya wachekeshaji wa VITUKO SHOW kundi linalopagawisha hapa nchini na nje ya nchi kupitia kipindi chake cha VITUKO SHOW kinachorushwa na runinga ya CHARNEL TEN. Wanamuziki hao walitembelea kambi hio majira ya saa kumi na moja jioni kabla ya SHOW itakayofanyikia Tanga Hotel jijini Tanga Leo usiku. |
Post a Comment