Mwisho wa mwezi huu, Mwanamuziki wa siku nyingi maarufu
kama Lady Jay Dee au Binti Komando anataraji kufanya shughuli katika ANNIVESARY
ya kuadhimisha MIAKA 13 ya yeye kuwepo kwenye gemu wa muziki wa bongo fleva.
Lady Jay Dee ambae
natamba sana nyimbo yake ya Joto hasira ailiyofanya na mwanamziki nguli mwenzie
Prof Jay amepanga kufanya shughuli hiyo ndani ya mgahawa wake unaojulikana kama Nyumbani Lounge
iliyopo Tranic Plaza [Near Best Bite] maeneo ya Namanga, jijini Dar Es Salaam
...
Katika kuadhimisha miaka hiyo, JAYDEE ameandaa show
itayoongozwa na MACHOZI BAND pamoja na Wasanii hawa hapa chini :
Post a Comment