Tarehe ilokuwa ikisubiliwa kwa
hamu ndiyo imewadia sasa, mashabiki wa Platnum
woote wa Kinyamwezi a.k.a Tabora au Mboka hivi
huu ndiyo wakati wa kutakasika na wasafiiiiiii....

The Prezidah himself toka Wasafi
Diamond platnumz
siku ya
tarehe 28 mwezi wa 6 pale
FRANKMAN PALACE kwa 30,000/= za
Kitanzania kwa wale wa ki-VIP 
then ile tarehe 29 june sasa.. watu
wote woote kwa elfu tano tu (5000/=) shoo Uwanja 
wa Ally Hassan Mwinyi, 
Akisema mwenyewe Platnum kuwa
"kwa pamoja tutalewa na kisha ntachagua mmoja tu wa kumpeleka kesho yake kwa mama Naseeb.. kama ilivyo ada ntakuwa na Crew yangu nzima ya wasafi wakiongozwa na Dumi Utamu, Mose Iyobo,Rama tonser na Emma Platnumz... Kazi yetu itakuwa ni moja tu...kukuondolea stress na kukupa burudani halisi ya kisafi...."

Post a Comment

 
Top