Baada ya Single yake Mpya ya Vitamini Music Belle 9 ft Joh Makini kufanya vyema kwenye vituo vya Redio ameachia Video yake mapema jana na moja ya picha kwenye Vieo hiyo hizi hapa chini

Kama Kifaa chako hakina Uwezo bonyeza hapa kutizama Video Hii ya Belle 9 ft Joh Makin - Vitamin Music
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.