MSANII: ALLY NIPISHE

Msanii wa kizazi kipya anayetamba na vibao kama Ntalila, Nipulika, Daima na milele, Binadam (aliyoimba na AT) na kibao kikali kinachotamba hivi sasa cha MY amepania kuwaona live mashabiki wake wa Tabora huku akimtafuta "MY" siku ya shoo kali ya kumsaka Mrembo wa Chuo Cha Utumishi wa UMMA Tawi la Tabora.
NI TAREHE 27-09-2013
NDANI YA UKUMBI WA CHUO | TPSC FUNCTION HALL
MUDA KUAANZIA SAA MBILI USIKU HADI KUMPATA MRIMBWENDE

HUU NI UJUMBE WA DHATI KWA WATU WAKE WA NGUVU WA TABORA NA HUSUSANI NDANI YA WANA-TPSC Tabora
"Kifupi naitwa Ally Nipishe a.k.a baba Fetty, kwanza napenda kusema kuwa mimi ni Mtanzania hivyo nampenda kila Mtanzania na ninafuraha sana kuwa karibu na mshabiki wangu hususani watu wa Tabora nawapenda sana pia nataka waje kwa wingi waje kuniona mtu wao wa nguvu ninakuja kumtafuta 'MY' nawapenda sana...."
ALLY BAUCHA | PRODUCER, ACTOR, DANCER NA VIPAJI VINGI
HAPATATOSHA JUKWAA LITAKAPOVAMIWA TENA KWA SUPRISE AMBAYO KILA ATAKAYE KUWEPO ATAJIVUNIA KUMWONA MSANII WA TOFAUTI SANA BONGO ANAYEBEBA SIFA YA NGULI MOJAWAPO NA MFALME WA DUNIA. 
#SUPRISE HAISEMWI WAZI FIKA JIONEE#
BAUCHA ATAKIPIGA KIBAO CHAKE KIPYA KWA MARA YA KWANZA TABORA HUKU AKIKELESHA MASHABIKI KWA KIBAO CHAKE MAARUFU CHA "KELELE"
----------
WADHAMINI:
------
GONALA PHAMACY| SCREEN MASTERS|SALUM MCHELE ELECTRONICS|
 FRADO BUSINESS CARE| ALOY SON BLOG| GAMALO PUB|
ROYAL PRODUCTIONS| MKWABI ENTERPRISES LIMITED| MSWAPE ALUMINIUM WORKS| MILLARDAYO.COM|
CG FM 89.5| TABORA REST HOUSE| NBS CLASSIC| CLOUDS FM|
NDIBS COLLECTION| HOLIDAY PARK.
---------

Post a Comment

 
Top