Kababa yeyee alipotua na kushusha maajabu na burudani za nguvu siku ya uzinduzi wa somo la Teknolojia Habari na Mawasiliano [TEHAMA] hapo mkoani Tabora
Kababa Yeyee akupigwa mangumi
Akisubiri ngumi itue kifuani
Awabeba vijana wa5
Kweli ng'ombe hazeeki maini, hawa jamaa walitangaziwa dau ikiwa wataugusisha mkono huo chini
Kababa Yeyee akiimba na wanafunzi alipotoa burudani siku ya uzinduzi wa somo la Teknolojia Habari na Mawasiliano [TEHAMA] hapo mkoani Tabora
Akimuuliza maswali mmoja ya wanafunzi kwenye tamasha hilo
Huku akiwa amekalia misumari ya ukweli na kumbeba mmoja ya mwalimu aliyejitokeza katika onesho hilo la kababa yeyee
Noma kweli washikaji zangu
Akijiinua kwenye misumari hiyo
Watoto wakimfurahia na kumuangalia kwa umakini mkubwa babu huyo akifanya yake

TIZAMA VIDEO HAPA CHINI

VIDEO 1

VIDEO 2

Via: www.aloyson.com

Post a Comment

 
Top