Nazizi face

 Kenya first lady kwenye upande wa rap Nazizi hivi karibu aliiambia mtandao wa nairobiwire kutoka kule nchini kenya kuwa amemtaka mumewe kumpatia talaka kwa sababu tu hawezi kuishi katika mji wa Lamu hivi ndivyo alivyo funguka nguli huyo wa rapp kule nchini kenya 



“I cannot divulge any more information on it, but I canconfirm to you that the marriage is over,”

hakuishia hapoo tu aliongeza hivi 



“It was hard to live in Lamu; I needed to come back to Nairobi where the rest of my family members are,We are still talking because of our son, but our marriage is over,” alimaza kwa kusema hivyo

Post a Comment

 
Top