Kim K. avaa Gauni yenye
thamani ya USD 20,000 sawa na TZS. Milioni 33, kwenye bachelorette party kabla
ya Harusi yake ambayo inatarajiwa kufanyika kesho. Pia inasemekana Rachel Roy aliyesababisha
ugomvi wa Jayz na shemeji yake Solange naye atakuwepo.





Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.