Ilikuwa
majira ya saa kumi na moja alasiri katika hospital ya Aghakan ndipo
mwili ulihamishiwa baada ya kutoka hospital ya Kairuki iliyopo
Mikocheni. Pichani juu ni gari maalumu la kubeba maiti na hapa lilikuwa
likisubiri mwili wa mpendwa wetu Geogre Tyson tayari kwa safari ya
kuelekea nyumbani kwake Mbezi Beach Makonde.
Pichani ni wafanyakazi wa TV1 wakiwa wanausubiri mwili kutolewa nje.
Mpendwa wetu akiwa ametulia kwenye nyumba yake ya milele.
BOFYA HAPA KUTIZAMA PICHA ZAIDI http://www.matukiotz.com/
Post a Comment