
Mkazi wa Kisukulu jijini Dar es Salaam, Iren Ibrahimu (22, amekufa kwa kujinyonga kwa kanga kwenye mti wa mjohoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi asubuhi katika eneo la Kisukulu.
Nzuki alisema kuwa julai 27, mwaka huu Iren alikwenda kwenye duka la Olivar Laurent kununua pombe aina ya kiroba original paketi tatu kisha aliingia chumbani kwake na jioni alitoweka na hakurudi tena hadi alipokutwa amekufa kwa kujinyonga shambani.
Chanzo EATV
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.