safe_image




Staa wa muziki wa bongo fleva ambaye pia ni zao la jumba la vipaji Tanzania THT Winfrida Josephat alamarufu kama Rachel,stori za hivi karibuni ambapo alikuwa akishukiwa kuwa na  mahusiano na msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva maarufu kama TID mnyama lakin 
Rachel alikanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na msanii Tid mnyama , aliendelea kusema maneno yanayoendelea kusemwa siyo mageni kwake,ukweli utabakia pale pale kwamba hawana mahusiano ya kimapenzi..

Post a Comment

 
Top