Anajulikana kwa jina la   Carlos Slim Helu mwenye utajiri wenye thama ya dola za kimarekani
$69 billion, anamiliki magari ya kifahari pamoja na nyumba za bei ghali zikiwemo hata ndege binafsi na yatch zifuatazo ni mali anazomiliki pamoja na manyumba na magari na vitu vyenye thamanii 


0
  Ana nyumba zaidi ya 20 katika maeneo tofauti ikiwamo moja yenye thamani ya shilingi $950 millioni za kimarekani  



Ana ndege  58 zote zikiwa ni mali zake binafsii picha hizi hapa 






Ndani ya ndege hizo  58 kuna 15 helicopterszingine zilizobaki ni ndege 43




Na hizo ni moja ya magari anayomiliki yakiwa na thamani ya hali ya juu katika soko la dunia upande wa magarii 



Pia ana Yacht 4





 

Ndani ya hizi yatch kuna kila kitu hadi swiming pool




 




Msahara wa Raisi wa Russia wenye thamni ya   $115,000 dola za kimarekani, ambayo ni sawa na mara sita ya saa anayomiliki tajiri huyu yenye thamani ya dola za kimarekani  $700,000..

Post a Comment

 
Top